tuko pamoja na wewe
PAMOJA AUCTION MART AND COMPANY LIMITED imejipambanua kama mshirika anayeaminika katika masoko ya mali zinazouzwa kwa mnada nchini Tanzania. Tunajivunia kuchangia ukuaji wa sekta ya udalali na kuhakikisha kila mnunuzi na muuzaji ananufaika kwa haki.
PAMOJA AUCTION MART AND COMPANY LIMITED ni kampuni ya Kitanzania iliyoanzishwa kwa lengo la kutoa huduma bora, za uwazi, na za kitaalamu katika sekta ya mnada na udalali. Kampuni yetu inajihusisha na kuuza mali kwa njia ya mnada, ikiwemo nyumba, magari, ardhi, vifaa vya biashara, na mali nyinginezo kwa niaba ya taasisi, mashirika, benki, na watu binafsi.
Tunatoa huduma katika mikoa yote ya Tanzania, tukizingatia misingi ya uadilifu, uwazi, ufanisi, na ubunifu katika kila mnada tunaoendesha.
Tunauzoefu
Minada tulio kamilisha
Kutoa huduma bora za udalali na mnada kwa uwazi, uadilifu na weledi, ili kuhakikisha wateja wetu wanapata thamani halisi ya mali zao na mnunuzi anapata huduma yenye ubora wa juu
Kuwa kampuni inayoongoza Tanzania katika utoaji wa huduma za mnada na udalali, inayojulikana kwa uaminifu, uwazi, na ubunifu katika soko la mali zinazouzwa kwa mnada.
Tunauza magari yaliyokamatwa, yaliyotumika, au mapya kupitia mnada wa wazi.
Tunasaidia wateja kuuza au kununua nyumba, majengo ya kibiashara, na mali nyinginezo za aina hiyo kwa njia ya mnada.
Tunauza viwanja na ardhi katika maeneo mbalimbali nchini kwa niaba ya taasisi au wamiliki binafsi.
Tunatoa ushauri kuhusu mchakato wa mnada, thamani ya mali, na mbinu bora za kuuza au kununua mali.
Tunawakilisha wateja katika michakato ya mauzo na manunuzi ya mali kwa njia ya kitaalamu.